Land for Sale at Dodoma

TSh 10,000,000
Ad ID
783879
Posted at
5. Aug, 12:01
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
Not Applicable
Unit of measure
Acres
Square units
11,500
Location
Dodoma Mjini Dodoma MBWANGA DODOMA MJINI
Description

Eneo lipo mbwanga mwishoni kabla hujaanza kwenda nala.linapungua kidogo kufika ekari tatu,umbali toka town centre hazizidi kilomita 12 na umbali kutoka barabara ya lami iendayo singida/tabora/mwanza ni karibu mita 500/600.karibu na eneo hili kuna mradi wa kufyatua na kuuza tofali,pia kuna ghorofa nzuri sana inajengwa ambayo iko mbele kidogo ya eneo lilipo.hati yake ni ya kijiji,halijapimwa ila majirani wawili wanaokuzunguka washapimiwa tayari.umeme upo karibu,na water table pia kwa ajili ya uchimbaji wa kisima kama ukihitaji.hii ni fursa ya kipekee na ofa kubwa kuliko msimu huu wa nane nane.
kwa anayehitaji fanya maamuzi ya haraka na makini kutolikosa eneo hili lililo na fursa ya kila namna kuanzia kibiashara mpaka makazi.
karibuni sana

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
steven masaka
Member Since 30. Dec '15 10 Active Ads 10 Published Ads
Verified Accounts
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.