Ekari Mbili na Robo Dodoma Mjini

TSh 8,000,000
Ad ID
782268
Posted at
29. Jul, 20:40
Details
Price negotiable
No
Price per square unit
No
Unit of measure
Acres
Square units
9,000
Location
Dodoma Mjini Dodoma MBWANGA MBELE YA NKUHUNGU DODOMA MJINI
Description

Eneo/shamba zuri sana lipo mbwanga mwishoni kabla hujaianza nala dodoma mjini.Lina ukubwa wa ekari 2 na roboliko umbali kama kilomita zisizozidi 10 kutoka dodoma mjini.na umbali wa kama mita 600/700 toka barabara kuu ya lami iendayo singida/tabora/mwanza.kabla ya kulifikia eneo mbele yake kuna mradi wa kufyatua na kuuza tofali na ghorofa zuri sana linajengwa.kuhusu hati linayo ya kijiji,kwa maana hiyo naliuza kama shamba!!bado halijapimwa ila jirani kashapimiwa hivyo liko sehemu salama.maji yako jirani sana na umeme upo jirani pia.Bei hii ni ofa na moja kati ya fursa za kipekee kuwahi kutokea
karibuni sana.

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
steven masaka
Member Since 30. Dec '15 10 Active Ads 10 Published Ads
Verified Accounts
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.