40,000 Sqm Plots at Ilala Municipal

TSh 11,000
Ad ID
590678
Posted at
10. Jul, 11:06
Details
Price per square unit
Yes
Unit of measure
Square Metres
Square units
40,000
Location
CHANIKA ZINGIZIWA, MANISPAA YA ILALA, DSM
Description

*Makazi Real Estate Agency, inakuletea mradi mpya wa viwanja 73 vilivyopimwa na serikali kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za makazi,
*nunua viwanja sasa na tukufanyie utaratibu wa kupata hati kutoka wizara ya ardhi, nyumba na makazi,
*viwanja vipo eneo zuri kabisa, ambapo ni 4km toka barabara ya lami ya chanika - mvuti, mandhari ya kuvutia,
*viwanja vipo vya ukubwa tofauti kadiri ya mahitaji ya mnunuzi,
*nunua kisha ulipe kwa pesa taslim au kwa mkopo ambapo utatakiwa kulipa 30% ya bei ya kiwanja kama malipo ya awali kisha pesa iliyobakia utalipa kidogo kidogo ndani ya muda wa miezi sita,
*BEI NI 11,000 TSH KWA SQUAREMETER
*wahi sasa na ujipatie kiwanja

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Clement
Member Since 28. Aug '15
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.