Sehemu: Mbezi Inn, kata ya Mbezi, mita 300 kutoka barabara ya Morogoro na kilomita 1 kutoka daladala terminal ya Mbezi Luis
.
kimepimwa • ni tambalale • kina uzio upande wa nyuma wa mapana na upande wa kulia wa marefu • kinafikika majira yote • kina nyumba ya vyumba vitatu vya kulala na sebule bado kuna nafasi ya kutosha kujenga nyumba nyingine self ya vyumba vitatu au ghorofa • kinafaa kwa ujenzi wa makazi • kiko karibu na vyuo vikuu vya St Joseph na Muhimbili hivyo ni kizuri kwa uwekezaji wa hostel • umeme na maji vipo
.
• Visit our listing to find more and different properties.
• If you can't get enough of our listing, send a request of your choice through our contacts
Learn about new items, custom picked just for you.