Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Viwanja Vilivyopimwa Kibaha Misugusugu

TSh 4,500,000
Ad ID
690892
Posted at
10. Feb, 19:47
Details
Price negotiable
No
Reference
53423
Price per square unit
No
Square units
14.0 acres
Location
Kibaha Mjini Pwani ONGEA NA NICHOLAS
Description

VIWANJA KWA MWINYI, MISUGUSUGU KIBAHA
UNALIPIA NDANI YA MIAKA 2 YAANI MIEZI 24

Tunawatangazia wananchi wote wa dar es salaam, na mikoa ya jirani kuwa tunauza viwanja vilivyopimwa na tunatoa hati miliki pindi utakapokuwa umechangua plot na kulipia fedha halisi ya kiwanja.

Viwanja viko kilomita 1 kutoka barabara ya Morogoro karibu kabisa na shule ya msingi Miyomboni. na utaratibu wetu wa kulipa ni mzuri sana tunakaribisha
kulipia kidogo kodogo kwa kipindi cha mwaka 1

Bei ya viwanja kwa mita mraba ni 8000 makazi pamoja na makazi na biashara
kiwanja cha bei ya chini kabisa ni 400sqm.

Wahi mapema ili tukupatie kiwanja na umiliki kiwanja.

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Novatus
Member Since 14. Jul '12 2 Active Ads 2 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.