Wataalamu wa Kilimo

Application deadline 31. Dec
Ad ID
786893
Posted at
9. Aug, 13:36
Details
Application deadline
2017-12-31
Business / Employer name
KILIMO KINALIPA
Job categories
  • Agriculture
Job Role
Entry Level
Position Type
Part Time
Organization Type
Private Sector
Location
Mbeya Mjini Mbeya
Description

Kilimo Kinalipa ni mtandao wa kijamii unaotoa elimu ya kilimo na ufugaji Tanzania kwa wakulima kupitia mtandao. Kilimo Kinalipa kina network ya wahitahji wa elimu ya kilimo na ufugaji zaidi ya 60,000.
Uhitaji wa elimu ya kilimo na ufugaji umeongezeka sana kwa siku za hivi karibuni.

Kilimo Kinalipa tunapenda kuwajulisha kuwa sasa tunahitaji wataamu wa kilimo kwa kazi ya kutoa ushauri kwa wadau wetu walioko nchi nzima.
Kumbuka kuwa hii sio kazi ya permanent bali ni ya freelancing na utakuwa unalipwa kulingana na kazi uliyofanya au ushauri utakao toa kwa mhitaji.

Tuma CV yako kwa email

ZoomTanzania Disclaimer:
AVOID SCAMS
NEVER PAY TO HAVE YOUR CV/APPLICATION PUSHED FORWARD. Any job vacancy requesting payment for any reason is a scam. If you are requested to make a payment for any reason please report abuse using the button on this page.
Online Library
Member Since 2. Jul '13 1 Active Ads Active Ads 3 Published Ads
Verified info
Apply for this job

Tuma CV yako kwa email

You need an account to apply to this job. Please Login / Register
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.