Sales Agent

Application deadline 31. Aug
Ad ID
774080
Posted at
18. Jul, 16:56
Details
Application deadline
2017-08-31
Business / Employer name
NOFO
Job categories
  • Sales
Job Role
Entry Level
Position Type
Full Time
Organization Type
Private Sector
Location
Kinondoni, Sinza Dar Es Salaam
Description

Wanahitajika vijana 10 kwa ajili ya kazi ya mauzo ya bidhaa mtaani. Mfumo wa malipo ni mshahara na kamisheni na mshahara wa chini kabisa ni 100,000/= kwa mwezi. Wenye sifa zifuatazo wapige simu (bonyeza Show Number)
(1) Elimu ya darasa la saba hadi kidato cha nne,
(2) Uelewa mzuri wa kuimarisha na kupanua wigo wa masoko
(3) Ari na moyo wa kufikia malengo uliyowekewa
(4) Uwezo wa kujieleza vizuri mbele ya watu wengi
(5) Usafi wa mwili na mavazi
Wenye uzoefu katika mauzo ya bidhaa (product selling) watapewa kipaumbele.
Mwisho wa kupokelewa kwa maombi ni tarehe 31 August 2017. Waombaji wanashauriwa watume maombi yao mapema kwani mchakato wa usaili utakuwa ukiendelea hata kabla ya tarehe ya mwisho ya kufunga zoezi la kupokea maombi hayo.

ZoomTanzania Disclaimer:
AVOID SCAMS
NEVER PAY TO HAVE YOUR CV/APPLICATION PUSHED FORWARD. Any job vacancy requesting payment for any reason is a scam. If you are requested to make a payment for any reason please report abuse using the button on this page.
nofo
Member Since 18. Jul 2 Active Ads 2 Published Ads
Verified Accounts
Apply for this job
Show Application Instructions
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.