Security Guard

Application deadline 30. Sep
Ad ID
773134
Posted at
5. Sep, 09:58
Details
Application deadline
2017-09-30
Business / Employer name
Bsafe Security System Ltd
Job categories
  • Security & Safety Jobs
Job Role
Experienced
Position Type
Full Time
Organization Type
Private Sector
Location
Kinondoni, Kijitonyama Dar Es Salaam
Description

BSAFE SECURITY SYSTEM CO. LTD inakaribisha maombi ya nafasi za kazi ya ulinzi, kutoka kwa watanzania wenye sifa zinazotakiwa ili kujaza nafasi za ulinzi.

A .SIFA ZA MUOMBAJI
Muombaji anatakiwa awe amefuzu masomo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) , Awe amehitimu kidato cha nne na awe tayari kufanya kazi mkoa wowote ule nchini Tanzania.

B. MAJUKUMU YA KAZI
• Kuepo eneo la lindo mda wote kutokana na shift zilizopangwa
• .Kuhakikisha mali yoyote inayoletwa ndani ya lindo ina hati ya idhini
• Kuhakikisha mali yote inayoingizwa lindoni inazo hati za uhaIali wake.
• Kulinda usalama wa majengo, Ofisi na mali za Ofisi mchana na usiku.
• Kuhakikisha kwamba milango na madirisha yote yamefungwa ipasavyo mwisho wa saa za kazi.
• Kuhakikisha kwamba wageni wote wanaoingia katika eneo la lindo wanaidhini ya kufanya hivyo.
• Kupambana na majanga yote yatakayotokea katika sehemu ya kazi kama vile moto, mafuriko n..k na kutoa taarifa katika vyombo vinavyohusika, kama vile polisi na zimamoto.
• Kutoa ushauri wa jinsi ya kuboresha huduma ya ulinzi mahali pa kazi.

C. MASHARTI YA JUMLA KWA MUOMBAJI
• Muombaji awe raia wa Tanzania
• Muombaji awe na umri usiozidi miaka 35
• Barua zote ziambatanishwe na vyeti husika na maelezo binafsi ya muombaji (cv)
• Barua zote ziwe na anwani ya uhakika na namba za simu za kuaminika.
• Barua za muombaji ziambatane na barua za wadhamini watatu,zikiwa na barua kutoka serikalini za mitaa wanapoishi pamoja na vivuli vya vitambulisho na passport size zao

ZoomTanzania Disclaimer:
AVOID SCAMS
NEVER PAY TO HAVE YOUR CV/APPLICATION PUSHED FORWARD. Any job vacancy requesting payment for any reason is a scam. If you are requested to make a payment for any reason please report abuse using the button on this page.
happy
Member Since 10. Sep '14 5 Active Ads 6 Published Ads
Verified Accounts
Apply for this job
Show Application Instructions
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.