Sales

Application deadline 31. Aug
Ad ID
786655
Posted at
Wednesday, 09:33
Details
Application deadline
2017-08-31
Business / Employer name
CK Recruitment
Job categories
  • Retail & FMCG
Job Role
Entry Level
Position Type
Full Time
Organization Type
Private Sector
Location
Ilala, Ilala Dar Es Salaam
Description

Wanahitajika watu wa kufanya mauzo bidhaa za vyakula za FMCG.

Kukaa kwenye maeneo ya kufanya mauzo
Bidhaa watafikishiwa kwenye maeneo yao ya mauzo
Hakuna kuzunguka mbali na kubeba mizigo
Kipato ni gawio kutokana na mauzo.

Chakula cha mchana kinatolewa bure kila siku wakati wa kazi
Mafunzo na vifaa vya kazi vinatolewa bure.

Elimu ni kiwango chochote, kuanzia kujua kusoma na kuandika.
Elimu ya juu zaidi itaweza kusaidia kujiongezea mtandao wa mauzo na kipato.

ZoomTanzania Disclaimer:
AVOID SCAMS
NEVER PAY TO HAVE YOUR CV/APPLICATION PUSHED FORWARD. Any job vacancy requesting payment for any reason is a scam. If you are requested to make a payment for any reason please report abuse using the button on this page.
hr1wabantu
Member Since 29. May 4 Active Ads 6 Published Ads
Verified Accounts
Apply for this job
You need an account to apply to this job. Please Login / Register
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.