Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja II X 3

Application deadline 28. Aug
Ad ID
781986
Posted at
28. Jul, 13:51
Details
Application deadline
2017-08-28
Business / Employer name
Halmashauri Manispaa ya Temeke
Job categories
  • Secretary & Office Admin
  • Other
Job Role
Team / Middle Management
Position Type
Full Time
Organization Type
Government
Location
Other Dar es Salaam District Dar Es Salaam
Description

Mwananchi 28/7/2017

Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke anawatangazia Wananchi/ Watanzania wote wenye sifa zinazotakiwa kuomba kujaza nafasi mbalimbali za kazi kama zilivyoainishwa hapo chini:-

Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja II (Nafasi 3)

SIFA ELIMU/UJUZI
• Elimu ya kidato cha Nnne (IV), au Kidato cha Sita (VI,)
• Cheti cha utunzaji kumbukumbu katika mojawapo ya fani ya afya, Masjala, Mahakama, na Ardhi.

KAZI NA MAJUKUMU
• Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/mafaili yanayohitajiwa na wasomaji.
• Kuthibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu /nyaraka.
• Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/ nyaraka katika makundi kulingana na somo
• husika (classification and boxing) kwa ajili ya matumizi ya Ofisi.
• Kuweka/kupanga kurnbukurnbu/nyaraka katika reki (file racks/cabnet) katika masjala/ nyumba za kuhifadhia kumbukumbu.
• Kuweka kumbukumbu(barua,nyaraka nk)kataka mafaili.
• Kushunghulikia maombi ya kumbukumbu/nyaraka kutoka taasisi za serikali.

NGAZI VA MSHAHARA
Ataanza mshahara TGS B (1) kwa mujibu wa viwango vya Serikalini.

UMRI
Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45.

MAELEZO YA JUMLA
Maombi yote yawasilishwe yakiwa yameambatanishiwa na CV pamoja na nakala za vyeti vya kuhitimu elimu na mafunzo (vyeti vinavyoonyesha kiwango cha kufaulu na sio 'leaving certificate')

ZoomTanzania Disclaimer:
AVOID SCAMS
NEVER PAY TO HAVE YOUR CV/APPLICATION PUSHED FORWARD. Any job vacancy requesting payment for any reason is a scam. If you are requested to make a payment for any reason please report abuse using the button on this page.
Agnes
Member Since 18. Sep '15
Apply for this job
Show Application Instructions
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.