Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Nyumba ya Vyumba 4 ipo Shinyanga Mjini

TSh 320,000,000
Ad ID
613605
Posted at
Thursday, 09:15
Details
Price negotiable
Yes
No of bedrooms
4
No of bathrooms
5
Amenities
  • Furnished (partially)
  • On Paved Road
  • Servants' Quarter
  • Shaded Car Port
  • Other
Location
Shinyanga Mjini Shinyanga ENEO NI NJE YA MJI KIASI KAMA 7KM TOKAMJINI NA NI MKABALA NA KOM ENGLISH MEDIUM SCHOOL NA KUNA KITUO KIPYA CHA MAFUTA, PIA NI MAENEO MAPYA KWA MAKAZI YA RAISI, MKUU WA MKOA, POLISI NA VIONGOZI WENGINE.
Description

Nyumba inauzwa ipo Mwalugole Shinyanga (makazi mapya) karibu na ikulu ndogo ya Raisi, karibu na makazi mapya ya RPC na Mkuu wa mkoa, ina vyumba 4 vya kulala vyote vina bafu na choo, na choo cha wageni pia, ina nyumba ndogo kwa nje ya vyumba 2 (suite yaani ni bedroom self contained na sitting room) na viwili ni single (vina bedroom tu) na bafu na choo chao ni vya kushare. ipo mahali pazuri ni makazi mapya na pamepimwa mtaa ni mzuri na tulivu na nyumba ipo ndani ya uzio (ukuta) na kuna chumba cha mlinzi getini na store ya nje na chumba kama utapenda weka duka, pia kuna gereji ya gari mbili, eneo ni kubwa, eneo limezungushiwa ukuta imara wa block na eneo lote limewekewa vigae, nyumba ndogo na kubwa zinajitegemea maji kwa mita tofauti. Bei ni maelewano, piga simu

KWA PICHA ZAIDI, WASILIANA NA SISI, tutakupatia picha nyingi zaidi.

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
 Bernard
Bernard
Member Since 2. Feb '15 1 Active Ads 1 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.