Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
23. Nov '18, 16:31
Ad ID: 1228297
TSh 80,000,000

House Available At Madale Mvumoni

Temeke, Toangoma Dar Es Salaam Madale Mvumoni
Details
Price negotiable
Yes
No of bedrooms
3
No of bathrooms
2
Description

(NYUMBA NZURI SANA INAUZWA)
IPO-DAR-ES-ES-SALAAM TZ
ENEO-NI MADALE MIVUMON
.
UMBALI NI MITA 200 TOKA BARABARA YA LAMI
.
NI NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA
NI MPYA, TANGU IMEJENGWA NI MWAKA 1.5
.
INA vyumba vitatu vi3 vya kulala, viwili vi2 ni masta, sebule dining jiko zuri lenye makabati, kubwa, stoo,
Ina tiles, gypsum, slide windows
Ina A/c sebuleni na kwenye masta
Nje parving blocks
umeme upo
Car parking space ipo kubwa
Gari 10 zinapaki ndani
.
NYARAKA ZA UMILIKI
KWA SASA NI MKATABA HALALI WA MAUZIANO TOKA S/ ZA MITAA
.
ILA MCHAKATO WA KUPIMA UNAKARIBIA MAENEO HAYO, KWA SASA WAPO MTAA WA 4
.
HII NYUMBA NI NZURI SANA SANA,
YAAN KAMA UNA AKIBA YAKO UKIITOA KWA AJILI YA NYUMBA HII, HAKIKA MWISHO WA SIKU HUTOJUTA HATA KIDOGO, NYUMBA IMEJENGWA KITAJIRI, MWANZO MPAKA MWISHO,
.
UKUBWA WA KIWANJA NI SQM-900/
.
BEI INAUZWA TSHS-MILION 80/
.

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Dalalli Shirima
Member Since 25. Apr '18 200 Total Ads / 200 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.