4 Bdrm Modern Town House at Mbweni JKT

TSh 650,000,000
Ad ID
699332
Posted at
2. Sep, 21:28
Details
No of bedrooms
4
No of bathrooms
5
Amenities
  • On Paved Road
  • Servants' Quarter
  • Shaded Car Port
  • Other
  • Air Conditioning
  • Cold Pantry
Location
Kinondoni, Mbweni Dar Es Salaam Mbweni JKT Kwa Mwamnayange
Description

Nyumba ya kisasa kali sana ya gorofa moja iko mbweni JKT karibu kabisa na kwa mh Mwamunyange ina vyumba 4 ambapo juu pekee ya kuna vyumba 3 vyote master na chini kuna sitting room kubwa na daining jiko la kisasa na store pamoja na public toilet na chumba cha 4 ambacho ni master iliyoungana na garege nje kuna servant quarter ya ukweli nzuri sana yenye vyumba 2 lakini pia ina sitting room na master bedroom, public toilet.
Nyumba iko ndani ya fensi ya kisasa security waya zipo vizuri, maji safi na kuna garden nzuri sana ya maua ya kupumzikia.

Eneo lina ukubwa wa sqm 1500. Bei ni sh ml 650.

mazungumzo Yapo ya kutosha wewe toa offer yako ulionayo usiogope sana bei

Ina title deed safiii imenyooka, haina longolongo, unakaribishwa kuona na kutoa offer yako

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Kasobile Property
Member Since 29. Oct '13 443 Active Ads 629 Published Ads
Verified Accounts
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.