Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
26. Aug, 09:07
Ad ID: 2070775
TSh 220,000

Nyumba ya Chumba 1 Ipo Kimara Baruti

Kinondoni, Kimara Dar Es Salaam Kimara Baruti Kituo cha 3 cha Mwendokasi baada ya kutoka Ubungo
Details
Price negotiable
No
Terms
6 Months in advance
Amenities
Description

Nyumba ipo kimara - baruti karibu kabisa na kituo cha mwendokasi cha baruti. Dakika 5 haziishi kwa miguu. Kodi ni miezi 6 na utatakiwa kutoa fedha ya dalali.
Nyumba ina
• sebule kubwa
• jiko
• chumba
• madirisha makubw ya aluminium
• choo cha ndani
• maji yanatoka ndani (uani & jikon)
• bili ya maji ipo katika kodi
• umeme luku wawili
• ulinzi (geti na walinzi wapo)
• parking kubwa kabisa
• maji ya nje (kisima na tank)
• uwanja wa kucheza watoto
• mahala pa kutupa taka (bure)

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Mac Max
Member Since 25. Aug 1 Total Ads / 1 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Activate Notifications
To receive the latest updates & news
Subscribe
Deactivate Notifications
To stop receiving the latest updates & news
Unsubscribe
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.