NYUMBA INAPANGISHWA KIHONDA MAGHOROFANI MOROGORO MJINI
NYUMBA IPO KARIBU NA HOSTEL ZA SUA PIA NA KOTA ZA POLISI.NI NYUMBA NZURI NA IPO SEHEMU INAYOFIKIKA KIURAHISI MAANA NYUMBA IPO JIRANI NA BARABARA YA KWENDA DODOMA.IPO MITA MIA TANO KUTOKA BARABARANI.
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA NI MASTER, SEBULE, JIKO, STORE NA PUBLIC TOILET.
NYUMBA IPO NDANI YA FANCE NA ZIPO MBILI NDANI YA FANCE. PIA MAJI YAPO.
KODI NI LAKI TANU NA NUSU KWA MWEZI.(350000) MALIPO NI KWA MIEZI MITATU.
Learn about new items, custom picked just for you.