Nyumba inapangishwa Bagamoyo Kiromo. Ina vyumba vitatu vya kulala (viwili ni Self-contained), sebule,dining room na jiko.
Maji na umeme vipo. Ipo katika eneo kubwa lenye bustani. Nyumba ipo ndani ya uzio (fence).
Nyumba ipo Kiromo Bagamoyo jirani na Shule ya Premier Girls Secondary.
Learn about new items, custom picked just for you.