Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
14. Mar, 10:43
Ad ID: 1335018
TSh 400,000

3 Bdrm House at Kimara

Kinondoni, Kimara Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
Yes
Terms
6 Months in advance
No of bedrooms
3
No of bathrooms
2
Description

NYUMBA YA KUPANGISHA KIMARA TEMBONI VYUMBA VITATU VYA KULALA NDANI YA FENSI KODI LAKI NNE (400,000)KWA MWEZI

Hii nyumba inajitegemea kwenye fensi kubwa ina vyumba vitatu vikubwa sana kimojawapo ni master kubwa sana,sebule kubwa, dining, jiko kubwa na choo cha familia,vyumba vyote kuna makabati, Pia kina servant cotter ya chumba master kikubwa sana,,maji dawasco masaa 24,,bei ni 400k x 6 nyumba ipo kimara temboni kutoka Morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 1 tuu usafiri ni bajaji sh 500

Kitemo Dalali kimara

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
kitemo dalali kimara
Member Since 9. Apr '18 200 Total Ads / 200 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.