Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Best Natural Hair Shampoo & Conditioner

TSh 88,472
Ad ID
1057046
Posted at
21. May, 13:44
Details
Price negotiable
No
Location
Kinondoni, Kijitonyama Dar Es Salaam
Description

MBA ni ugonjwa wa ngozi unaopatikana zaidi kwenye nywele ugonjwa huu husababisha muwasho na kudhoofisha muonekano wa nywele pia kusababisha uchafu pindi unapochana nywele ama kuzisuka japo wengi hudhani kawaida tu
UGONJWA HUU WA MBA KWENYE NYWELE
husababishwa eidha na
1.?Uchafu wa mtu kutoosha nywele mara kwa mara,huwakuta especially wale wanao osha nywele mwezi hadi mwezi na ndo maana wanawake wengi.Hawaishi kujikuna sana kwa sababu wana #MBA na hii ni hutokana na kukaa na nywele muda mrefu pasi kuosha ama wakiwa wamezisuka.
2.?Wakati mwingine husababishwa na ngozi kavu.
3. ?kutosafisha ama kusugua uchafu wote mpaka uishe pindi unapoosha nywele
4.?Bidhaa unazotumia za nywele, kama shampoo, hair conditioner,mafuta ya nywele, dawa za kukuzia nywele etc wengi huwa hawana brand moja na huoshea nywele shampoo yoyote ile watakayoikuta salon au bafuni.
5.?Husababishwa na fungus,ukurutu,mapunye ?USHAURI
Kama unasumbuliwa na #MBA safisha nywele zako hata mara tatu kwa siku na bidhaa sahihi za kusafishia nywele, pia nunua shampoo na hair conditioner zenye sifa ya kutibu.

MBA uwe ili uwe unaenda nayo masaluni kila unaponyoa ama unaposuka nywele, ni vyema kuwa nayo ili uwe unaisafishia nywele hata ukiwa unakoga nyumbani kwako ?ZINAPOPATIKANA

Margareth
Member Since 22. Jun '15 3 Active Ads 3 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.