Helicopter Drone

TSh 650,000
Ad ID
788563
Posted at
14. Aug, 11:05
Details
Price negotiable
Not Applicable
Condition
New
Location
Kinondoni, Kinondoni Dar Es Salaam
Description

Unapata
drone,
extra mapanga,
mabattery matatu extra ya drone( jumla battery 4)
Gimball
Wifi waterproof action camera ambayo inakuwezesha kuunganisha drone camera na.sim yako. Ina maana ukiipaisha juu unaona kila.kitu katika sim.yako. video utakayokua unashoot ama picha utakazokua unapiga na drone camera yako unaona katika sim.yako.huku drone yako.ipo juu angani. Hii camera ni waterproof kwaiyo hata kama unashooting ndan ya swimming pool ama under water unaweza.kuitumia kufnyia shooting za chini.ya maji.
Phone holder yakuunganisha sim na.controller yako
Controller
Full.set ya 4k camera ndan ya box yake na.kila.kitu chake unapata pamoja na hii drone. Hii ni waterproof action camera. Hata chini ya maji ( underwater unaweza fanyia.shooting.

Eddy
Member Since 19. Dec '16 10 Active Ads 11 Published Ads
Verified Accounts
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.