Ni LG og mpya ndio nimeanza kuitumia mwenyewe haina tatizo lolote haimwagi maji chini ikigandisha vitu huwa inajizima ubaridi ukipungua inajiwasha yenyewe hutajuta ukiwa nayo ninahitaji kuhama mkoa usafiri unasumbua ndomaana nimeamua kuiweka sokoni aliye serious bei itapungua tuwasiliane kwa 0657 04 35 50