Shamba zuri Lenye Nyumba Tabora

TSh 19,000,000
Ad ID
774792
Posted at
19. Jul, 09:08
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
Not Applicable
Unit of measure
Acres
Square units
19
Location
Tabora Mjini Tabora
Description

Shamba ni ekari 19 lipo ndani ya manispaa ya Tabora just 12km toka katikati ya mji. Lina nyumba ndogo mpya ya vyumba vitatu, nyumba ya kuku, nyumba ya uyoga, banda la mbuzi,nyumba ya nguruwe bado tu kupaua. Kuna visima viwili vya kuchimba kwa mkono na mizinga 15 ya nyuki. Shamba linatazama barabara ya lami ya kwenda urambo hadi kigoma na linafaa kwa shule, hoteli, kiwanda na hata kwa ufugaji na kilimo. Nguzo za umeme zipo jirani sana maana shamba lipo kijijini ambapo kuna umeme. Nauza sababu ya kukosa usimamizi baada ya kuhamishwa kikazi. Bei ni Milioni 19 negotiable. Exchange with a car may also be considered.

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Patrick
Member Since 6. Jul '14 1 Active Ads Active Ads 4 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.