Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Programu Wezesha Wajasiriamali (Proweza) With Free Computers

23. Aug '16 - 31. Jan
Ad ID
648880
Posted at
24. Aug '16, 12:26
Details
Event types
 • Conferences & Seminars
Start at
2016-08-23 09:30:00
End at
2018-01-31 16:00:00
Location
Kinondoni, Msasani Dar Es Salaam COMING FROM MOROCCO ON KAWAWA ROAD TURN RIGHT ON MAHAKAMA ROAD/IKUNGI STREET
Description

PROGRAMU WEZESHA WAJASIRIAMALI(PROWEZA)
Programu maalumu kwa Wajasiriamali wa Tanzania. Ni ushirika kati ya AIT na United States Foundations Consortium (USFC). Mradi umelenga kuwawezesha Wajasiriamali katika mambo makuu kumi na tano(15). Baadhi ni yafuatayo:

 1. Kutoa elimu ya ujasiriamali-kujitambua,kuanzisha au kuendeleza biashara zao kwa ufanisi wa hali ya juu.
 2. Kutoa ushauri wa kibiashara(advisory services) kwa wajasiriamali
 3. Kutoa mikopo kwa utaratibu maalum unaolenga umiliki wa chombo cha Credit Access Facility(ENCAF).
 4. Kuwapatia wajasiriamali vifaa vya kiteknologia kama komputa,printa,routers,nk kwa ufadhili wa USFC.
 5. Kujufunza ufugaji kwa faida( KukuPesa na SamakiPesa)
 6. Kujifunza kilimo cha mazao ya muda mfupi yanayolipa(KilimoPesa)
 7. Kuwaunganisha wajasiriamali na sehemu mbalimbali kwa ajili ya kupata rasilimali za kurutubisha na kukuza biashara zao.
 8. Kusaidiwa katika Andiko Biashara(Business Plan),Andiko Mradi(Project Proposal) na Andiko la kimkakati kutangaza biashara au bidhaa yako(Strategic Marketing Plan)
  Kila mshiriki atachangia gharama kidogo ya asilimia (0.00017%) ya gharama ya progamu nzima
  Usajili umeanza. Omba Form ya usajili kwa kupiga namba 0784 220 877 au tuma email kwenda nnicholaski@gmail.com
Nazar
Member Since 10. Feb '16 1 Active Ads 4 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.