JIPATIE BEGI LA KISASA LINALOKUJA NA #EARPHONE PAMOJA NA #POWERBANK
Ant theft backpack
Ni Begi nzuri za kisasa, imara na zenye sifa zifuatazo • MAJI - Sehemu yake ya Mbele limetengenezwa kwa material maalumu isiyopitisha maji
.
• KUCHAJI SIMU - Lina uwezo wa kuchaji simu kwani linakuja na wire maalumu ambayo ndani kuna PowerBank na kuchaji simu kwa USB port iliyopo nje
.
• EARPHONE - Linakuja likiwa na eaphone zake original kabisa ambazo zinachuja mziki vuzuli . • REFLECTOR - Sehemu yake ya M...