Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
18. Aug, 09:03
Ad ID: 1500873
TSh 1,400,000

Automatic Motor Gate Opener

Kinondoni, Goba Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

Mr Electric microsolution tunafunga sliding gate opener .
Motor inauwezo wa kusukuma geti lenye lenye uzito mpaka tani moja.
Utaweza Kufunga na kufungua geti lako kwa kutumia rimoti .. rimoti hizi zinauwezo wa kufunga na kufungua geti kwa umbali wa zaidi ya mita 80 .
Pia motor hii ina uwezo wa kukaa na chaji kwa zaidi ya Siku tatu endapo umeme utakatika .
Hutakuwa na haja ya kutumia tena kufuli kwaajili ya kufungia geti ukishafunga kwa rimoti litakuwa limejifunga kabisa..pia utaweza kutumia motor hii kwa mfumo wa Automatic na mfumo wa Manual..
Epuka adha kushuka kwenye gari kwenda kufungua geti nakurudi ndani ya gari hasa wakati wa mvua na usiku. Huna haja ya kupiga honi tena ukisha fika kwako, huna haja ya mtu wa getini tena, Haya yote yanafanyika kwa kubonyeza rimoti yako tu (single touch) .. Nitext whatsapp ili kuona utendaji kazi wake
Karibuni nipo Dar es salaam .. Popote ulipo nakufikia

Mr Electric
Member Since 4. Jul 15 Total Ads / 13 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.