Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
9. Apr, 10:07
Ad ID: 1365195

Free Workshop - Introduction to 3D Animation and Visual Effects

Kinondoni, Mikocheni Dar Es Salaam
Description

Kutakuwa na Free Workshop ya siku moja inayoitwa 'Introduction to 3D Animation and Visual Effects'

Ratiba ya Workshop hiyo itakuwa kama ifuatavyo:

  • 2D vs 3D - Let's clear the confusion
  • Why do we do Visual Effects? What exactly are Visual Effects? The answer to this question will surprise you.
  • What does it take to be a 3D Animator and/or a Visual Effects Artist? There is room for everyone, even you.
  • Relationship between 3D Animation and Visual Effects
  • 3D Animation Workflow - Quick Breakdown from Modeling to Final Rendering
  • Visual Effects Workflow - Quick Breakdown
  • Recommended software you need to be good at
  • Equipment and Tools you need to be familiar with
  • Building a strong local Community of Artists - A Short Discussion
  • Conclusion

Workshop hiyo itafanyika Jumamosi 13/04/2019, Nafasi Art Space iliyopo Mikocheni nyuma ya ofisi za ITV kuanzia 9:00 am.

Tafadhali wataarifu wengine ambao unadhani wanaweza kufaidika na mafunzo haya.

Kama ungependa kushiriki katika Workshop hii, unaweza kutuma jina lako na ujumbe mfupi wa 'NITASHIRIKI' kwa text ya kawaida au kwa WhatsApp. Au kwa email info@natronstudios.com.

Ni muhimu sana kujiandikisha mapema.

Natron Studios
Member Since 6. Nov '15 1 Total Ads / 1 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.