Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Egg Binding

Ad ID
1050253
Posted at
15. May, 12:14
Location
Other Dar es Salaam District Dar Es Salaam
Description

Egg Binding
Egg binding kwa lugha rahisi ya kiswahili
tunaweza kusema ni mkwamo wa yai kwenye mfumo wa uzazi wa kuku hili ni tatizo linaloweza pelekea kuku kufa kabissa kama mfugaji atashindwa kumsaidia kuku kulitoa ndani ya masaa 24, maana kinyume na hapo yai linaweza kupasuka na kuku kupoteza uhai. Leo tutajuzana kuhusu hili tatizo kiundani kuanzia dalili, sababu na njia za kumsaidia kuku kuweza kutaga vizuri
Dalili za egg binding
1.) dalili ya kwanza kuku kushindwa kutembea, na kama atatembea basi hua anatembe kama mtu alie jinyea au penguin ?
2.) kuku huingia na kutoka mala kwa mala kwenye kiota bila kutaga... 3.) kuku kuharisha maji yenye mchanganyiko wa chakula.. 4.) kuku kutojishughulisha na kitu chochote bandani
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi sasa.

Emmanuel
Member Since 19. Dec '15 4 Active Ads 4 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.