Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Chicken Sandbath

Ad ID
1050260
Posted at
15. May, 12:01
Location
Other Dar es Salaam District Dar Es Salaam
Description

Kwanini umashauliwa utengeneze sandbath kwenye banda lako?? Kwa wale wafugaji wanaofugia indoor kuku wao ama semi indoor,. Wataalamu wanashauli kuku watengenezewe sandbath ndani ya banda ina faidi nyingi kama zifuatazo

  1. Inapunguza msongo kwa kuku (stress): sand bath kufanya kuku arelax hivyo hupunguza msongo kwa kuku na kuchochea utagaji kwa Layers

  2. Sandbath kama itaandaliwa vizuri inasaidia kukabiriana na external parasite kwa kuku kama utitiri, viroboto etc

  3. Sandbath husafisha miguu ya kuku hence magonjwa kama bumbefoot ni nandra sana kusumbua kuku wako

  4. Sand bath inasaidi pia kwenye kukabiriana na unyevunyevu bandan (only if kama sand bath itakua na ukubwa wakutosha) Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi sasa.

Emmanuel
Member Since 19. Dec '15 4 Active Ads 4 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.