Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Bata Bukini

Ad ID
1050073
Posted at
15. May, 12:15
Location
Other Mbeya District Mbeya
Description

pata dondoo.pata muongozo.kisha pata muelekeo" Bata bukini ni moja ya aina za ndege wafugwao wenye tija kubwa kwa mfugaji huku gharama ya utunzaji ikiwa ndogo. Kuna aina mbili ya bata bukini ambao ni weupe na wenye mchanganyiko wa rangi. Halikadhalika hutofautiana katika idadi ya utagaji wa mayai. Chakula Ndege hawa wanakula chakula kama wanacholishwa kuku, wanapendelea kula majani jamii ya mikunde kwa asilimia 50% na hawahitaji chakula kingi. Vifaranga ni lazima wapatiwe lishe Banda Bata bukini wanahitaji nafasi ya kutosha hivyo andaa banda kulingana na wingi wa bata unaotarajia kufuga. Hakikisha banda limesakafiwa au banda la udongo lisilotwamisha maji. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi sasa.

dennis
Member Since 26. Jul '15 5 Active Ads 5 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.