Msaidizi anahitajika kufanya kazi kwenye makazi Bagamoyo ambapo wanaishi wazazi wawili. Hamna mtoto wa kulea, wote wakubwa na hawaishi tena na wazazi kwa sasa. Ninahitaji mtu atakayeishi Bagamoyo kwa ajili ya kazi lakini atapewa siku ya Jumapili off (au siku nyingine yoyote atakayopendelea).
Msaidizi awe mwanamke mwenye umri kati ya miaka 35 hadi 45. Ninapendelea awe ni mtu anayejielewa na kujitambua kwa kuwa atakuwa anaishi na wazazi wangu.
Kwa maombi na maelezo zaidi wasiliana nami kwa simu.
Learn about new items, custom picked just for you.