Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Protein Supplements

TSh 180,000
Ad ID
749690
Posted at
5. Oct, 16:37
Details
Price negotiable
Yes
Location
Kinondoni, Mikocheni Dar Es Salaam
Description

UKOSEFU WA PROTEIN MWILINI
Miili yetu inahitaj protini kwa ajili ya kila kitu . Protini inasaidia kuzuia ujenzi wa seli zote katika mili yetu .Pia huboresha ngozi, hujenga misuli na mifupa.Husaidia uoataji nywele zetu.
Ukipata protini kidogo mno, baada ya muda, unaweza kuathiri kila nyanja ya afya yako.
Je unajua dalili Za ukosaji wa protein ndan ya mwili wako:
1.Alama ya nusu mwezi kwenye dole gumba.Hii ni sawa sawa na kuendesha gari na taa ya mafuta ikawaka inaashiria una ukosaji wa mafuta na ndivyo miili yetu ilivyo.
2.Kupata hali ya mwili kuchoka na kusinzia wakati wowote.
3.Kupata maumivu kwenye magoti na mwili kukosa nguvu muda wowote.
4.Mapaja kutolingana.Paja moja kubwa na lingine kuwa dogo.
5.Mwili kubonyea ,Kila unaposhika sehemu ya Kiungo cha mwili wako.
UNAWEZAJE KUONGEZA PROTEIN MWILINI?
Tunayo bidhaa iitwayo Protein Nutritional supplements iko kwenye mfumo wa unga na hutumika kama lishe kwa mwenye uhitaji wa protein na hata mtu ambaye anapenda kuwa na mifupa imara na misuli yenye nguvu.
NB:Hizi sio dawa Bali ni virutubisho asilia.
Kupata Protein package hizi na ushauri zaidi, comment number yako? au wasiliana nasi kupitia
0718854518/ 0766605617
Call/ Text/ Whatsapp

Kayla
Member Since 15. Oct '15 4 Active Ads 10 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.