Edmark P4 - Full Package

TSh 456,000
Ad ID
687221
Posted at
13. Jul, 13:15
Location
Kinondoni, Kimara Dar Es Salaam
Description

Edmark P4 ni mkusanyiko wa bidhaa aina 4 ambazo zitakusaidia kupunguza uzito uliyozidi na kukutibu changamoto mbalimbali zinazosababishwa na unene.

Package ya Edmark P4 inakuwa na products zifuatazo?:
- Edmark Splina
- Edmark Shake Off
- Edmark MRT
- Edmark Red Coffee na Ginseng Coffee

Jinsi zinavyofanya kazi:
- Edmark Splina kazi yake ni kusafisha damu, kuweka sawa kiwango cha asidi na alkali katika mwili, kusambaza hewa ya kutosha ya oxygen katika mzunguko wa damu, kuhuisha seli mwilini (Cells rejuvination) na kuondoa sumu mbalimbali katika mwili.

- Edmark Shake Off kazi yake ni kuondoa uchafu uliyo rundikana katika utumbo mpana, kufyonza viambata mbalimbali vya sumu mwilini, kurekebisha mfumo wa usagaji chakula.

- Edmark MRT huu ni mlo wenye kiasi kidogo cha karoli ambao unakusaidia kupata virutubisho mbalimbali na kuchoma mafuta ambayo yamezidi katika mwili na kuzuia uzalishwaji wa mafuta mwilini

- Edmark red coffee na Ginseng Coffee hizi ni kahawa zenye kiwango kidogo sana cha kafein zilizochanganya na mchele mwekundu na ginseng ya kikorea ambapo zina fanya kazi ya kuondoa rehemu mbaya (bad cholesterol) kwenye mishipa ya damu, kupunguza kasi ya kuzeeka, kusaidia kuona na kusikia vizuri pamoja na kuchangamsha mwili.

Bidhaa zote zimethibitishwa na mamlaka ya vyakula na dawa tanzania (TFDA)
Kwa maelezo zaidi na ya kina kuhusu bidhaa za Edmark wasiliana nami kupitia simu

Edmark Shop Tanzania
Member Since 23. Jan 3 Active Ads 3 Published Ads
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.