Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Oven ya Mkaa

TSh 399,000
Ad ID
935235
Posted at
27. Jan, 18:23
Details
Price negotiable
Yes
Condition
Used
Location
Ilala, Tabata Dar Es Salaam
Description

Oven yenye kutumia nishati ya mkaa inauzwa kwa bei nafuu. Ni kubwa na unaweza kuokea keki aina zote, mikate zaidi ya 40 kwa pamoja, biskuti, pizza na vingine vingi. Imetumika kidogo hivyo bado ipo katika hali nzuri. Inatumia mkaa kidogo kwa matumizi mengi. Inafaa kwa biashara. Ipo Tabata Mwananchi na bei inapungua.

macdonaldrichard
Member Since 27. Jan 1 Active Ads 1 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.