Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Charcoal Stove (Jikokoa)

TSh 135,000
Ad ID
1070968
Posted at
4. Jun, 03:38
Details
Price negotiable
No
Condition
New
Location
Kibaha Mjini Pwani
Description

Kibaha Energy Savers tunakujulisha yale majiko bora kabisa na ya kisasa jikokoa yamewasili tena, majiko haya ni imara na yanadumu miaka zaidi ya kumi, yanatumia mkaa kidogo sana na hayatoi moshi mwingi, yanaokoa zaidi ya 50% ya budget yako ya muda na mkaa.

Pia yana warrant ya miaka miwili, hakika hutojutia kuwa nalo au kumnunulia mama watoto,

Yanapatikana kwa bei ya offer Tsh 135,000 laki moja na elfu thelathini na tano tu na kwakweli hyo ni bei ya ofa na haipungui kabisa.

Tutakuletea popote ulipo ndani ya dar, na mikoani tunatuma pia kwa uaminifu mkubwa mno.

Mawasiliano
Karibuni sana.
Jikokoa Imara, Imara zaidi.

Member Since 10. May 3 Active Ads 3 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.