Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
18. May, 13:11
Ad ID: 1808097

NUHIU-PRO POINT OF SALE(POS) / PROGRAM YA MAUZO

Arusha Mjini Arusha
Description

NUHIU-PRO
(Nunua-Hifadhi-Uza)

NUHIU-Pro ni programu ya kufanya mauzo (Point Of Sale (POS)na ufuatiliaji wa hesabu uliorahisishwa.
Itakuokolea muda wa masaa 2-3 ya kazi ya kuandika kwenye daftari/excel kwa siku na kukusaidia
kupata taarifa ya mwenendo wa Biashara yako kiurahisi, kuongeza usahihi wa hesabu zako, na kukusaidia kufanya maamuzi sahihi ya biashara yako.

Mfumo wetu wa NUHIU-PRO ni rafiki (rahisi) kwa mtumiaji kujifunza pia huharakisha kutengeneza na kuongeza mauzo kwa biashara yako
Inakupa uwezo wa kufanya kazi mahali popote ulipo mtandaoni, Fikia na udhibiti vitabu vyako kutoka kwa kompyuta yako, Laptop au simu yako ya Smart Phone wakati wowote na mahali popote.unaweza kufuatilia kwa urahisi kila kitu mahali pamoja kwa kutumia programu hii.
NUHIU-Programu ina sifa nyingi na utendaji mzuri, imetengenezwa kwa uangalifu na Kufuata mahitaji ya sasa ya Biashara. Inafanya kazi kupitia vifaa vingi kama Computer,Laptop, simu na tablet.
Baadhi ya sifa zake:
• Fanya hesabu zote za bidhaa (Stock Management) Pia inakuonesha Kiasi cha mtaji ulichowekeza.
• Rekodi kwa urahisi Usafirishaji na kila shughuli ya Uuzaji (Sale & Deliveries)
• Pata Ripoti kamili katika biashara yako, ripoti 40+ za kina kwa Biashara yako.(Reports)
• Mfumo wetu ni angavu mafunzo kidogo sana inahitajika.(Ease to Learn & Use)
• Unaweza kuweka viwango tofauti vya bei kwa bidhaa zako. Mfano inaweza kwa maduka ya jumla na rejareja.
• Tumia kipengele chetu cha Akaunti ya Hifadhi ambayo ni safu ya mkopo kwa wateja wako. Tunayo akaunti za duka kwa wauzaji pia (Customer & Suplier Store Account)
• Inatoa Risiti, Inakupa ripoti ya faida, Bidhaa zinazokaribia kuexpire, kuisha kwenye stock, Fatilia matumizi kila siku. n.k

Tunaonesha Jinsi NUHIU-PRO inavyofanya kazi na kukupatia link ya kutumia kwa muda program hii na Whatsapp group ambalo tutakuwa tunarusha vipengele muhimu vya mafunzo ya kuweza kumudu kutumia program hii .

PROGRAMU HII INAFANYA KAZI VIZURI KATIKA BIASHARA ZIFUATAZO: SPARE ZA MAGARI/PIKIPIKI, HARDWARE, PHARMACY, SUPERMARKET, vifaa vya michezo, duka la vipodozi, Nguo, vitabu, Electronics, Simu na watoa huduma.

MOLLEL LOSIVU
Member Since 28. Apr 1 Total Ads / 1 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Activate Notifications
To receive the latest updates & news
Subscribe
Deactivate Notifications
To stop receiving the latest updates & news
Unsubscribe
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.