Business ID: 639373

Waja Mabati

Mkuranga Pwani Mtaa wa Mpela, Halmashauri ya Mkuranga, Pwani, TANZANIA.
About Us

Kiwanda cha mabati kinachozalisha na kuuza mabati ya aina mbili ambayo ni ya rangi (Pre painted Roofing Sheets) na yasiyo na rangi (Galvalume Roofing Sheets).

Mabati haya yana mchanganyiko wa madini ya Aluminium (55%), Zinc (43.5%) na Silcon (1.5%) juu ya chuma ambayo yanapelekea bati kutopata kutu.

Waja Mabati
Member Since 12. Jul '16

Contact Business
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.