Business ID 639010

The World Staffing Project (TWSP)

Kinondoni, Sinza Dar Es Salaam Dar-es-Salaam
About Us

The World Staffing Program ni mpango ulio anzishwa kwa lengo la kuandaa na kutoa ajira za muda mfupi na ajira za muda mrefu (Permanent and Temporary Staffing) kwa Watanzania wanaokidhi vigezo.

Lengo la The Word Staffing Project (TWSP) ni kuchukuwa nafazi za ajira kwenye makampuni, mashirika na taasisi za kiserikali, binafsi na za kidini katika mikoa yote ya Tanzania na kutoa kwa watainiwa wanaokidhi vigezo ambao watakuwa ni wanachama wa The Word Staffing Project (TWSP).

Kwa watakao jiunga na The Word Staffing Project (TWSP) wakiwa bado ni wanafunzi wa vyuo vikuu watatakiwa kujiunga na The Word Staffing Project (TWSP) kwa kutoa taarifa kulingana na mkoa anaotoka au kama anahitaji kupangiwa ajira kwenye mkoa tofauti na mkoa wake atatakiwa kutuma maombi maalum wakiambatanisha na vithibitisho kwaajili ya kubadilisha taarifa zake na kupangwa kwenye mkoa husika.

The Word Staffing Project (TWSP) licha ya kuwa na mpango wa kutoa ajira za muda mrefu na ajira za muda mfupi (Permanent and Temporary Staffing), ina mipango mingine kwa wanachama ambao bado hawajamaliza masomo yao au kwa waliomaliza masomo yao ila hawapo tayari kuajiriwa.

The World Staffing Project (TWSP)
Member Since 11. Jul '16
Contact Business
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.