Business ID: 515247

Tanzania Muslim Hajj Trust

Dar es salaam
About Us

Tanzania Muslim Hajj Trust Ilizinduliwa mnamo mwaka 1995 Tarehe 4 april, katika viwanja vya Diamond ikiwa chini ya uongozi wa SHEKHE NURDEEN BIN HUSSEN AL-GHASSANY ofisi zake zina patikana kariakoo karibu na barabara ya lumumba tunahusika kushuhulikia safari za hijja na umra pamoja na kumtaarisha hujaji na ibada nzima hijja kipengele mpaka kipengele.

Tanzania Muslim Hajj Trust
Member Since 5. Jun '14
Verified via:
Email

Contact Business
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.