Business ID 3094950

Start your Own Gold Mine Limited

Geita Geita
About Us

Syogm Limited inakupa fursa ya kuanzisha mgodi wako wa dhahabu.
Hii ni program maalum ya mafunzo ya kukuwenzesha kuanzisha na kuendesha mgodi wako wa dhahabu kwa muda wa siku 45 tu.
Kampuni yetu itakupatia mafunzo maalum na kukusimamia mpaka pale utakapofanikiwa kuzalisha kilo moja ya dhahabu katika mgodi wako.
Kampuni pia itakupatia vifaa pamoja na utaalam wote watakaohitajika kwa ajili ya kukuendeleza baada ya program hii.
Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yetu www.startyourowngoldmine.com na kutuandikia.

Start your Own Gold Mine Limited
Member Since 21. Jul
Verified via:
Email Mobile Number
Contact Business
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.