Business ID: 1896381

SMART HOME TECHNOLOGY

Kinondoni, Goba Dar Es Salaam
About Us

SMART HOME TECHNOLOGY
ni wataalamu wa kuweka mifumo ya kisasa katika nyumba/ofisi yako,
.
1 - utakuwa na uwezo wa kuangalia kila kitu kinachoendelea nyumbani/ofisini kwako kupitia smartphone yako
.
2 - utakuwa na uwezo wa kuzima na kuwasha taa za nyumbani/ofisini kwako kupitia simu yako popote ulipo
.
3 - utakuwa na uwezo wa kuongea na yoyote aliepo nyumbani kwako kupitia camera iliyokuepo nyumbani/ofisini kwako
.
4 - utakuwa na uwezo wa kutega muda wa kuwaka na kuzima taa kupitia simu janja yako
.
5 - Utakuwa na uwezo wa kupata taarifa kama kuna mtu anatembea eneo la camera - motion detection - kudhibiti wizi kwa kutoa alarm kwenye simu janja yako.
.
Kwa sasa tuna package mbili muhimu za kuanzia
.
#smart_Package - #Tshs_250,000
inakua na smart bulb camera 1,
smart switch 1 one gang,
.
#super_package - #Tshs_375,000
inakua na smart bulb camera 2,
smart switch 2 one gang,
.
kwa mahitaji ya huduma zetu wasiliana nasi kupitia:-
.
#0737_452044
#0716_650904

SMART HOME TECHNOLOGY
Member Since 15. Jun '20
Verified via:
Facebook Mobile Number

Contact Business
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.