Business ID 579406

Masai Sandals from Arusha

Posta Kisutu na Tabata Kimanga
About Us

Tunauza sandals za kike za kimasai yani zenye mausha ya shanga toka Arusha. Huduma zetu ni kwa wale tu watakaonunua kwa jumla. Bei zetu ni Tsh 13,000/- kwa sandals 1 ikiwa ni bei ya jumla.
utaratibu ni kwa mteja kuweka order kwa kutuma maua anayohitaji na namba kisha atasubiri kwa takriban wiki 1 kuandaliwa mzigo wake na kufikishiwa alipo.
kwa Dar es Salaam delivery center ni Kisutu Posta na Tabata

Masai Sandals from Arusha
Member Since 14. Jul '12
Verified via:
Email Mobile Number
Contact Business
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.