Business ID 677934

Konfa Business Lodge

Kinondoni, Mbezi Dar Es Salaam MBEZI BEACH - GOIGI ,Nyuma ya jengo la SHAMO PARK HOUSE
About Us

Nani asie penda kutulia sehemu iliyojifichaaaa!!,mazingira mazuriiiiii!!! Garden safiiii!!,Halafu kila huduma inapatikana,Bar,Restaurant,Internet-WiFi,Parking ya kutosha,classic rooms - FIVE STAR STANDARD,full majakuzi,wewe tu utumie la kulala,au la kusimama,unaoga huku mziki laiiiiini unauskia kwa mbali,maji ya motooo yenye presha kali!!,huduma ya laundry unapata,wapenzi wa mpira,Full DSTV kila chumba na Decoder yako,asikubadilishie mtu chanel,una Cheza tu na remote yako,.Kitu kipya ndani ya jiji. Tupo MBEZI BEACH - GOIGI ,nyuma ya jengo la SHAMO PARK HOUSE

Konfa Business Lodge
Member Since 22. Dec '16
Verified via:
Email
Contact Business
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.