Kampuni ya JOSEN TRADERS tunauza vifaa vyote vinavyohusu ujenzi zikiwemo mbao aina zote,mabati aina zote,nondo, gypsum bord,tiles,misari,pvc board nk.
Pia ni mawakala wa mabati kwa makampuni ya Alaf,Sunshare,Dragon,Gsm,Kiboko na mengine mengi.
Tunaruhusu mteja kuwekeza pesa kidogokidogo kupitia akaunti ya kampuni ndani ya miezi mitatu akimaliza anakuja kuchukua mzigo wake.
OFA:Tunatoa usafiri ndani ya Dar es salaam na kwa wateja wetu wa mikoani kampuni inachangia usafiri.
Learn about new items, custom picked just for you.