Kampuni inayotoa huduma za picha na video kwenye sherehe mbalimbali hapa nchini. Ila kwasasa tupo Dar es Salaam. Tunafanyakaz za aina zote Kama harusi,sendoff, kitchen party, graduation na kazi za makampuni.
Karibuni Sana
Learn about new items, custom picked just for you.