Tunachukuwa fursa na nafasi hii kuitambulisha kampuni yetu iitwayo Izekago.
Izekago ni kampuni yenye sifa nzuri katika sekta ya ubebaji na usafirishaji wa mizigo hapa nchini Tanzania, na makao makuu yake yakiwepo jijini Dar es Salaam.
Kampuni hii ya Izekago imeundwa kwa mfumo wa kisasa kabisa wa kiteknolojia ambao hutoa huduma ya usafirishaji na usimamizi wa mizigo.
Izekago ina mtandao mkubwa sana wa Wasafirishaji na Mawakala wa Upakuaji, Ubebaji na Usafirishaji wa mizigo tayari kwa kukupatia huduma mda wowote; Mawakala hao wana zaidi ya miaka kumi ya ubobezi na uzoefu katika sekta hii.
Izekago ni kampuni ya kwanza nchini Tanzania ambayo hutoa huduma ya ufuatiliaji wa mizigo ya wateja kupitia njia mpya na ya kisasa zaidi ya kiteknolojia, ambapo mzigo wa mteja utaanza fuatiliwa pale tu utakapofika bandarini hadi utakaposafirishwa sehemu iliyokusudiwa na kinyume chake. Kwa ujumla mfumo wetu mpya wa kiteknolojia una programu ya kwenye simu na tovuti ambayo hutoa huduma kwa wateja wetu kama ifuatavyo;
Kwa maelezo zaidi,
Tembelea Tovuti yetu ya IZEKAGO kupitia https://www.izekago.com
Tunapatikana Google kupitia https://g.page/r/CWIlNttNFFdAEAE
Tunapatikana Linkedin kupitia https://www.linkedin.com/company/izekago
Tunapatikana Facebook kupitia https://www.facebook.com/izekago
Tunapatikana Instagram kupitia https://www.instagram.com/izekago
PAKUA IZEKAGO:
Programu ya Mteja: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.izekago.customer
Programu ya Dereva:
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.izekago.driver
Learn about new items, custom picked just for you.