Inspire Hatua ni mfumo wa kwanza wa elimu ya mtandao kwa vitendo Tanzania. Mfumo huu unamsaidia mwanafunzi kujifunza kupitia video ambazo zinaonyesha dhana tofauti tofauti ya masomo ya sayansi na mengineyo kwa teknolojia ya vikaragosi (animation).
Learn about new items, custom picked just for you.