Business ID 530389

Fast Trac Heavy Equipment Spare Parts

ILALA ARUSHA/MOSHI STREET
About Us

Napenda kuwajulisha kuwa tunauza spare au vipuri aina zote za caterpillar machine na komatsu za model zote. Kuanzia injini parts, hydraulic na under carriage. Tunapatikana ilala mtaa wa arusha / moshi.
Kwa mawasiliano au maelezo yeyote yanayohusiana na spare parts za caterpillar na komatsu or for any inquiry please don't hesitate to ask.

Asanteni na karibuni.

Fast Trac Heavy Equipment Spare Parts
Member Since 20. Jan '15
Verified via:
Email
Contact Business
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.