Business ID: 606609

Chuo Cha Maendeleo Ya Wananchi - Urambo

Urambo Tabora URAMBO, JIRANI NA OFISI YA WILAYA(UR)
About Us

CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI URAMBO, NI CHUO CHA SERIKALI KINACHOTOA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KATIKA FANI ZIFUATAZO;
1). UMEME WA MAJUMBAJI
2). UFUNDI MAGARI
3). UFUNDI UJENZI
4) USEREMALA
5).USHONAJI NGUO
6). UHAZILI
7). UDEREVA
FANI HIZI ZIMEGAWANYIKA KATIKA MAKUNDI MAWILI, FANI TANO ZA MWANZO HUCHUKUWA MUDA WA MIAKA MIWILI IKIWA ZILIZO SALIA HUANZIA MUDA WA WIKI TANO HADI MIEZI MITATU.
CHUO KINA MANDHARI MAZURI YA KUJIFUNZIA IKIWA NI PAMOJA NA UWEPO WA KARAKANA ZILIZO SHEHENI VIFAA VYOTE MUHIMU KWA AJILI YA MWANAFUNZI KUJIFUNZA.
FAIDA NA UMUHIMU WA KUSOMA KATIKA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI URAMBO NI KWAMBA ADA YAKE NI NAFUU UKILINGANISHA NA VYUO VINGINE, NA MWANAFUNZI ATAPATA FURSA YA KUENDELEA NA MASOMO HADI YA ELIMU YA JUU KUTEGEMEANA NA UFAULU WAKE KATIKA MITIHANI AMBAYO HUFANYIKA KILA MWISHO WA MWAKA. MITIHANI HII HUTOLEWA NA VETA.
HIVYO MWANACHUO ANAEFANYA VIZURI HUENDELEA MBELE HADI KUFIKA CHUO KIKUU.
AIDHA KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017, MKUU WA CHUO ANAWATANGAZIA WANACHI WOTE WALIO HITIMU KIDATO CHA NNE NA SITA KUWA NA FASI BADO ZIPO KATIKA FANI ZOTE ZILIZOAINISHWA HAPO JUU

Chuo Cha Maendeleo Ya Wananchi - Urambo
Member Since 25. Feb '16
Verified via:
Email

Contact Business
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.