Business ID: 550442

Canossa Nursery School and Baby Daycare

Arusha Mjini Arusha ask and take town bus (kifodi, minibus, hiace) from Arusha town centre to Njiro Atomic and stop at Canossa Nursery School and there you are very welcome. Also, ask our courtesy driver to come and pick you on phone 0757364676
About Us

Shule ya awali ya Canossa ilianzishwa mwaka 1998 na masista wa Canossa. Shule hii ipo maeneo ya Njiro- Korona kwenye manispaa ya Arusha katika jimbo kuu la Katoliki la Arusha.
Lengo kuu la shule ni kujenga misingi imara ya maisha ya watoto kwa njia shirikishi ili kumjenga mtoto kiakili, kijamii, kisaikolojia na kihisia. Hii ina makusudi ya kuwapa uwezo wa kujiamini, kujifanyia mambo wenyewe na kumpenda Mungu.
MOTTO:
FOR THE WAY TRUTH , AND LIFE
VISION:
NIFUNDISHE NIWEZE KUFANYA KILAKITU MWENYEWE
MISSION:
Kujenga shule imara na misingi ya maisha kwa Watoto kupitia mbinu shirikishi kuendeleza mafunzo kiakili, kijamii, kisaikolojia na kihisia ili kuwapa ujasiri , uhuru na upendo wa mungu
MALENGO:
Kutengeneza mazingira ya kirafiki kwa mafunzo ya Watoto wadogo.
To develop skills to the young ones for self management, numeracy and literacy.
Kusaidia Watoto kukuza mtazamo wa kuwa kielelezo binafsi katika maswala ya elimu.
Kutoa maarifa na ujuzi ambao utafaidi Watoto na jamii kwa ujumla
MTAALA WA SHULE:
Shule inafuata muongozo na mukhtasari wa shule za Tanzania za Kiswahili na Kiingereza. Shule ina mtaala dhabiti unaotumia kila nafasi ili kuendeleza kujifunza kwa kina.

Wanafunzi wa Pre unit wanafanya kazi zaidi na zenya changamoto zaidi ili kuwaandaa vizuri kujiunga na masomo ya darasa la kwanza.
USAJILI WA WATOTO:
Watoto wanapaswa kupitia hatua tatu (3) za mafunzo ya awali ambazo zimegawanyika katika madarasa mitatu
Shule ya awali ya Canossa inachukua Watoto kuanzia umri wa miaka 2 hadi 6 .
2 hadi 3 Watoto wadogo ( baby class )
4 hadi 5 darasa la kati ( middle class )
5 hadi 6 darasa la juu la Watoto wanaotarajia kuingia darasa la kwanza ( preā€”unit )

Malipo ya usajili TShs -10,000

Karibuni waleteni watoto kwa usajili, malezi ya mchana na masomo hata sasa na siku zote mwaka mzima.

P.O Box 2756 Arusha Tanzania

Canossa Nursery School and Baby Daycare
Member Since 29. May '15
Verified via:
Email

Contact Business
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.