Business ID: 2119692

AUTOMATIC GEARBOX AND ENGINE REPAIRS

Magomeni Kinondoni, Magomeni Dar Es Salaam 14101 Tunapatikana Magomeni, Mwembechai upande wa kushoto ukiwa unaenda Kariakoo, karibu na ilipokuwa FINCA pride zamani.
About Us

Tunatengeneza matatizo yote kwenye automatic gearbox. Mfano,

Gear kuslip (yaani unaweka D halafu unaona gari haitembei kabisa au inaenda kidogo tofauti na unavokanyaga accelerator).

Gear lever kustuck kwenye neutral au Parking

Gari kuchelewa kubadili gear

Gari kugoma kabisa kubadili gear(kutopata baadhi ya gear.

Speedometer kutofanya kazi kabisa au kutofanya kwa usahihi.

Gari kushtuka wakati wa kubadili gears. Hata kutoka P kuja D au N kuja D.

Gari kutembea hata kama umeweka Park position.

Gearbox kuoverheat

Gari kubadilisha gear random.

Na matatizo mengine yanayofanana na hayo

Pia tunarekebisha matatizo yote ya mifumo ya umeme kwenye engine. Kama,

Gari kukosa nguvu,

Gari kutumia sana mafuta,

Gari kuzimazima

Gari kuwaka kwa shida asubuhi

Gari kuchukua muda kupata nguvu.

Karibu sana tukuhudumie.

AUTOMATIC GEARBOX AND ENGINE REPAIRS
Member Since 7. Jun '20
Verified via:
Mobile Number

Contact Business
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.