Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Nazi Jumla (Coconut)

TSh 550
Ad ID
1051552
Posted at
Wednesday, 11:10
Details
Price negotiable
Yes
Location
Other Lindi District Lindi
Description

Coconut dealer
Tunauza nazi kwa jumla kuanzia nazi 100.

Agiza nazi kutoka lindi nazi yenye ubora kavu iliyokomaa vizuri nazi tamu kupikia pia nzuri kutengenezea mafuta

  1. Toa oda yako mapema ili utupe muda wa kuandaa mzigo wako.

  2. Inachukua siku 7 utapotoa oda na siku ya kuutuma mzigo wako,inachukua siku moja mzigo kufika dar.

  3. Wateja wa mikoani mbali na dar mzigo utafika dar kwanza siku itayofuata ndio ufanyike utaratibu wa kusafirisha ukufikie ulipo.(naposema mahali ulipo namaanisha mkoa uliopo sio nyumbani kwako mzigo nashusha kwangu wewe utaufata kwangu,mzigo kuanzia nazi elfu 2 ndio utaletewa kwako)

  4. Siku ya kutuma mizigo ni jumamosi na jumapili.

  5. Namna ya malipo : unatanguliza advance kwa 50% ya mzigo unaotaka,utamalizia malipo mzigo utapokufikia.

  6. Endapo mzigo haujakufikia kwa sababu kama kupotea basi tutarudisha 50% uliyotanguliza.
    Uaminifu kitu cha bure hatuna longolongo,tupo kikazi zaidi.

Tunaanzia nazi 100 kwa jumla kwa bei ya 550/= hadi 500/= (55,000)

Babu
Member Since Wednesday 1 Active Ads 1 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.